How to register for new heslb account for all


 MUHIMU* 

TO ALL LOAN BENEFIANCIARES 


 *KWA WANUFAIKA WOTE WA MKOPO WA TZ BARA* 


SASA HIVI ACCOUNT ZA AWALI AZIFANYI KAZI.


 *HIVYO* 

*NAMNA YA KUANGALIA LOAN STATUS YAKO KWA  WANAFUNZI AMBAO NI WANUFAIKA*( CONTINOUS STUDENT) *KWA MFUMO MPYA WA DiDis*


1) FUNGUA LINK YA OLAMS

2)create account

3)Sign -up type chagua loan detail

4)Number ya form four alafu register

5) Email  yako na namba yako ya simu

6)tengeneza password yako unayotaka alafu bonyeza register.

7)Rudi nyuma nenda kulogin  tumia username namba ya form four  na password uliyotengeza.


Baada ya hapo itafunguka uta click vialama v3 viliopo juu kushotoni kwako utakutana na maneno yafuatayo

--Dashbord

--SIPA

--DiDis

--LIPA

--Refund n.k

Wewe Click neno *SIPA* 

Baada ya ku Click utakutana na maneno 2. *Allocation* na *Disbursements* 


SEHEMU Ya Allocation ndio ambayo utaifungua itakuhitaj ku select academic year...mfano 2022/2023..gusa *(Seach)* 

Baada ya hapo ndio itakuonesha malipo yako yote na details nyenginezo you may rotate simu yako kuona vzuri.....

 

UKISHINDWA omba msaada usaidiwe🫶🏻

*IMPORTANT*

TO ALL LOAN BENEFICIARES


 *FOR ALL TZ BANA LOAN BENEFICIARIES*


NOW THE PREVIOUS ACCOUNTS DO NOT WORK.


 *SO*

*HOW TO CHECK YOUR LOAN STATUS FOR STUDENTS WHO ARE BENEFICIARIES* (CONTINOUS STUDENTS) *FOR THE NEW DiDis SYSTEM*


1) OPEN THE OLAMS LINK

2) create an account

3) Sign-up type select loan detail

4) Number of form four then register

5) Your email and your phone number

6) create your desired password and then click register.

7) Go back and log in using the username number of form four and the password you created.


After that it will open, you will click the v3 symbols on the top left of you, you will come across the following words

--Dashboard

--I don't

--DiDis

--PAY

--Refund etc

You Click the word *SIPA*

After clicking you will come across 2 words. *Allocation* and *Disbursements*

For more assistance tucheki kupitia whatsaap 0768217855


Also read

Utafiti


Also join us

Whatsaap channel

Msomi wetu

Tembelea bloggers yetu kwa ajili ya kupata habari mbalimbali za michezo burudani elimu nakadhalika

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post