#albarttz
MSANII WA BONGO FLEVA
HAITHAM KIM AFARIKI DUNIA
Taarifa iliyotufikia hivi punde msanii wa Bongo Fleva Haitham Kim amefariki dunia majira ya saa 6 mchana ambapo ameacha mtoto mmoja aliyezaa na mzazi mwenzake Niite Boshen.
Alifanikiwa kufanya vyema na ngoma kama utamu akiwa na Young Lunya pia ukaniumiza akiwa na Dayoo na Lody Music.
Alikuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) ambapo toka juzi kampeni ya kuchangia matibabu ilikuwa ikiendelea kupitia wasanii mbalimbali na wadau.
Taarifa zaidi zitakujia endelea kuwa nasi.
Join us for more news
Tags
LIFESTYLE