By Albart tz Chuo kikuu cha sokoine kinapenda kuwakumbusha wanachuo wote kuwa makini na kujipanga vema ili kuhakikisha kwenye kipindi hichi cha kumalizia mitihani kuwa macho na kwa wanaoondoka kuchukua usafiri utakao wafikisha wsendako Aidha management na staff nzima inawatakiha kila lakheri wanachuo ambao washamaliza mitihani yao na ambao wanamalizia mitihani yao Hivyo kwa wote ambao awajaondoka na jipange maana kesho ndio leo na muwe na likizo njema Imeandaliwa na sua management Toa mapendekezo yako kupitia hukurasa huu Also join us for more update Whatsaap channel |
Tags
EDUCATION