Timu ya yanga jana tarehe 23 imewasili nchini mali hii ni baada ya kutua na ndege uko mjini Bumako mji mkuu wa mali 🇲🇱 wakijiandaa na mechi jumapili ya tarehe 23 mwezi huu wa pili 2023
Hivyo kama we ni shabiki.. kaa kwa kutulia ukisubilia iyo siku ifike
Je ni yapi maoni yako kuhusu mechi iyo yanga itatoboa ???leave a comments bellow
Tags
ENTERTAINMENTS